Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Jamaan mmenifata na huku nakuja usiku usiku hivi ndio vizuri nakumbukashuni tunakusubr kule weekend ndo hii mama
Jamaan mmenifata na huku nakuja usiku usiku hivi ndio vizuri nakumbukashuni tunakusubr kule weekend ndo hii mama
Mapupu ya kukulanaAhaaa.
Anazungumzia mapupu gani sasa?
Ikilipuka shauri yakoHahaha, bado niko vizuri mkuu,damu bado ya moto.
Yapi sasa?Sio hayo
Hawezi nishindwa mie![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Eti eeehh
Wewe bana hamna mwingine zaidi yakoSitakiii mtafute wa kumlisha
Basi mkuu mm sikutaki jamanWewe bana hamna mwingine zaidi yako
HahahahahaaaaaApambane na gundu lake kwanza huyo alishasema mara nyingi eti me ni Bibi sasa anakujaje kwa Bibi akutane na manyama yaliyoshuka au
Ben 10 kwangu big noooHahahahahaaaaa
Vigagula ndio habari ya mjini bana
Usiku raha sana,.. Yani mpaka namuonea huruma MwifwaSi unajua usiku babe ndio vizuri
Huyo usimuonee huruma apambane na mito yake babeUsiku raha sana,.. Yani mpaka namuonea huruma Mwifwa
Naomba ashindwe ili uje kwanguHawezi nishindwa mie
Kwako hapana bora niwe mtawa tuNaomba ashindwe ili uje kwangu
Mimi siwezi kukushindwa shunie wangu.Kwanza unanishindwaje babe jaman
EwaaaaHawezi nishindwa mie