Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ahahahhh sio vizuri ujue unavyonifanyiaHahaaaa
Shunie bhana
Ahahahhh sio vizuri ujue unavyonifanyiaHahaaaa
Shunie bhana
Kwa sababu imepigwa sehemu tofauti na kwa mtindo tofautiYani nikisikia Mapupu napata picha tofauti sijui kwanini.
Ahahahhh sakayo huyu si kuna siku tulimuona anajibebisha huyuMmmmhhh
Haya bana, ngoja nipambane na gundu yangu ivo ivo
Eeeeh!Hahaha
Wacha nikae kimya, mdogo wangu kaleta mume
EwaaaaAhsante. Ukisema natii bila shuruti. Nimetulia.
Ewaaaaa halaf shem wako anaonekana white flani woiiii nishazoea vyeusi mangala mie vyeupe na me tofauti shunie weupe bae nae mweupe wapi na wapi
mimi na weupe wapi na wapi, usiogope yale mambo ya Camera 360!...mimi mweusi kama unavyomuona kambale
Babe jaman nikupeleke kitandani ukausake usingizi![]()
jirani utanifanya niwe nakaa karibu na kamusi ya TUKI, misamiati yako inanitoa nishai
Nmefurahi kumleta shemelaaaaaaAhahahhh sio vizuri ujue unavyonifanyia
Shunie namuaminia sana! Aliwahi kumuambia mtu humu, yeye DSM longtime kitambo, tangu enzi hizo Sinza ni mbuga na kuna Simba wanakula watu!
aiseeWewe hapoPunguzaaaa
Ana bebii wake huyooooAhahahhh sakayo huyu si kuna siku tulimuona anajibebisha huyu
WoyoooooooooooooHaaaah. Haaah. Haaaah. Ngoja na Mimi nikampe akili zangu dadako afu nione nitabaki na ladha gani!
Unamaanisha mapunye au mapu..balls?Usiniambie kwahiyo tunakula mapu.... ya ngombe huu uroho huu utanitokea puani


NaaaammmmmJirani![]()
![]()
![]()