Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Hahahaaaa
Shunie unajuaga kujielezaaa, ulishakuwa mwalimu eeeh..... Jana sijaja sababu ndo honeymoon yenu, sikutaka kuwavuruga ujue.... Ila hongeraaaaaa
shemeji.Hahahaaaa
Shunie unajuaga kujielezaaa, ulishakuwa mwalimu eeeh..... Jana sijaja sababu ndo honeymoon yenu, sikutaka kuwavuruga ujue.... Ila hongeraaaaaa
shemeji.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shunie mpeleke babe wako kwa bed akaanze kuisaka mboji





huyu inabidi siku niende nae kula mapupuHahaaaahalaf ujue we unanifanya nafanya kusudi
Huwezi kukosa vyoteSlim me sina lolote jirani yake Dada angu
Geuka nyuma basiNiambie jiraniii
Najua babe
Hapa sina mbavu.... Nlitaka nkutext nikaogopa bwashee asijesoma







mfyuuuu tuma text hiyoAchana naye huyo ameshavurugwa.Khaaaa Mwifwa veep wewe
Imehamia kwa shunieAkili ilihamia wapi Mkuu?
HeeeToa kwa sakayo me situmiagi nilishawaambia mods waiondoe toka nilivyoingia jf
MmmmhhhToa kwa sakayo me situmiagi nilishawaambia mods waiondoe toka nilivyoingia jf
PoapoaHapo sawa
AbeeeeDadako atakuambia! Amekuskia
Ewaaaaa halaf shem wako anaonekana white flani woiiii nishazoea vyeusi mangala mie vyeupe na me tofauti shunie weupe bae nae mweupe wapi na wapiIle tai yako ya red iko wapi Shem
Ahahahhh hata sijui ugomvi wangu na we slim jamanDadako atakuambia! Amekuskia
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shunie mpeleke babe wako kwa bed akaanze kuisaka mboji
jirani utanifanya niwe nakaa karibu na kamusi ya TUKI, misamiati yako inanitoa nishai