Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahaBasi wewe kula nauli kichuo chuo jirani
Siwezi kula nauli Jirani
HahaBasi wewe kula nauli kichuo chuo jirani
Ndio nimekuja jamaan yaan kama nakuona huko ulipoShunie
Mumeo huyoooo
WoyooooooooAbeeh
Nipo hapa babe akee
Poa mkuu mambo yanaendajeHumu leo ni vipi?
Jambo viviJambo veve
Veep na miguno yako ebu tuache na mababe zetu we kwa hivyo hivyo hata pm hupatiMmmmhhh
Nakuona tu jinsi unavyomsumbua Baba D, hadi akutengee maji tena ya uvuguvuguTayari jamani
Viko viwili mkuu.Bila shaka huo ubusy umekupatia kiwanda kidogo
Ahahahhh jambo mimiJambo vivi
Afadhali hata umeonekana,roho itatulia sasa.Abeeh
Nipo hapa babe akee
HahahahaaaaNataka nikasugue mgongo bhana..![]()
Basi mapupu yanatosha tuHaha
Siwezi kula nauli Jirani
Veep na miguno yako ebu tuache na mababe zetu we kwa hivyo hivyo hata pm hupati
Mzima?Nipo swahiba
Sakayo atanigawia kimoja tu hapoViko viwili mkuu.
Vipacha..
KodooooVeep na hiyo mimacho
Samahani mkuu mapupu ndiyo madude gani maana kwa kabila letu mapupu ni kitu flani hiviBasi mapupu yanatosha tu