Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,761
- 126,663
Utafute utaupata japo ushafungwa na akina ModsKwakweli sijauona cuzoo ujue nina masiku kadhaa sijaingia
Utafute utaupata japo ushafungwa na akina ModsKwakweli sijauona cuzoo ujue nina masiku kadhaa sijaingia
[emoji7] [emoji7] [emoji7] cuzoo si anataka kutukanaNdo maana nakupenda
Umefanyaje kwaniUle wa Ana Maria
Teh tehUmeonaee
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Woyoooooooooooo
Jukwaa lipiiUtafute utaupata japo ushafungwa na akina Mods
Hahahaaaaa. ngoja nijaribuMkuu jifungie ndani mwako ujitukaneee weeeh mpaka hamu ikuishe
Acha bwana ebu weka screenshot cuzooKalitoa leo kwenye post ya Nugaz alipomuwish zamaradi Happy Birthday
Kuna mgeni mmoja hivi alikuja jana...Naniii huyo yaan kutoingia hizi siku nimeshakuwa mgeni jf woiiii
HahahaNilijua nitakuwa mdogo kuliko wote kumbe kuna mtu yuko mbioni kuwa mimba kabisa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]
Hakuna namna ingine mpaka hasira zimuisheAjitukane kwa kweli[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kuna uzi kule jukwaa la utambulisho,kuna binti anaitwa anna maria,mods wameupiga kufuli kaupitieUzi upiiii huo