Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Usijitangaze kuogopa niniiiBonge ajitangaza kuanzia lini.
Usijitangaze kuogopa niniiiBonge ajitangaza kuanzia lini.
Ndio maana unaweza kuvimbiwa kwa sababu tumbo halisemi kama limezidiwaHiyo huwa hatufkilii wakati tunakula![]()
Kwenye hizo mambo hakuna kuona aibuVichapati eti 200 nilitamani niagize hata 5vyepesi nikaogopa macho ya watu
SawaaaaNimeitwa huko chumbani, hata sijui kuna nini. Ngoja niende. Nikitoka huko ntakumwagia story za saba moja moja!
Vichapati eti 200 nilitamani niagize hata 5vyepesi nikaogopa macho ya watu
Sa si unieleweshe mamaDada huwezi kuelewa lazima ushangae ujue
SawaaaaYaaan nipo jamaan aendelee tu
Nipo hapa na me nakusubiri slimNimeitwa huko chumbani, hata sijui kuna nini. Ngoja niende. Nikitoka huko ntakumwagia story za saba moja moja!
Sio firigisi hizoHayo hapo na mabandama![]()
![]()
Kweliii MwifwaAisee
Maandishi pia huonyesha mofoloji ya mtu. Katka ubonge haupo.Usijitangaze kuogopa niniii
NdiwooooooNdio maana unaweza kuvimbiwa kwa sababu tumbo halisemi kama limezidiwa
Hapana kaka chapati 5 wangenishangaa ujueKwenye hizo mambo hakuna kuona aibu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ningekuwepo ningekufotoa kabisa na kukupost huku jukwaani





ujue sasa mwifwa kama ndio shunieSawa Shunie hujawahi kunidanganyaKweliii Mwifwa