STRESS ERASED

jaman nimecheka hii ya mtoto kwenda usukuman anakutana na mamilenda haaaaaaaa katika mboga zilizonishinda ni hizo aisee ptu
 
Hahahaaaa!! Hiyo ya ukweni na mikate funga kazi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeipenda zaidi ya kwenda ukweni wakati ulijitambulisha mlokole.
 
"Ptu" yan MBITIYAZA unatema kabisa mboga ilonikuza? Daah

unajua kuna mikoa mingine hizo mbioga hazipo eh? mie sijazaliwa mwanza so kwakweli ilioshanishinda!hongera aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…