Strengths za waziri wa afya H. Mwinyi

UNO

Senior Member
Feb 3, 2012
197
19
Mimi nilitegemea yanapotokea matatizo makubwa, hasa kama haya yaliyotokea wizara ya afya waziri angekuwa mstari wa mbele kuona jinsi ya kutatua. Nilishangaa kumwona waziri wa afya anaulizwa na waandishi wa habari kwamba; unategemea kufanya nini kuhusu mgomo unaoendelea; Waziri anajibu huku akichekacheka; "Ni kama Raisi alivyosema".....Hivi kazi ya waziri ni nini? Hivi uwaziri ndio huu?? Anabebewa kazi yake na Raisi? Na mpaka leo sijasikia mchango wowote katika jambo hili kutoka kwa huyu waziri; isipokuwa hali kuendelea kuwa mbaya...au kwa sababu anatoka.............hana uchungu na .......? Mungu tusaidie..
 
Hivyo hivyo tu ilimradi tunaelekea 2015 ambapo kila mtanzania atakuwa keshapata somo na kulielewa practically!!
 
Mwinyi nae ni LIWALO NA LIWE, hii ndio policy itakayoendelea hadi 2015, wananchi jiandaeni kuteseka hadi 2015. CDM wakiingia magogoni.
 
Nasikia ndiye anaandaliwa kuwa rais kupitia CCM 2015, kweli huyu akiwa rais na UDHAIFU alionao nitaishi CHOO cha STENDI mpaka kipindi chake kiishe maana kuna mtu ndani ya sytem yao uchwara aliniambia kwamba huyu kilaza ndiye ana kuja kuwa sultani wetu hapo 2015. Labda wana JF huyu jamaa ambaye uwezo wake ni wa mashaka makubwa itakuwa hatari.
 
Mimi nilitegemea yanapotokea matatizo makubwa, hasa kama haya yaliyotokea wizara ya afya waziri angekuwa mstari wa mbele kuona jinsi ya kutatua. Nilishangaa kumwona waziri wa afya anaulizwa na waandishi wa habari kwamba; unategemea kufanya nini kuhusu mgomo unaoendelea; Waziri anajibu huku akichekacheka; "Ni kama Raisi alivyosema".....Hivi kazi ya waziri ni nini? Hivi uwaziri ndio huu?? Anabebewa kazi yake na Raisi? Na mpaka leo sijasikia mchango wowote katika jambo hili kutoka kwa huyu waziri; isipokuwa hali kuendelea kuwa mbaya...au kwa sababu anatoka.............hana uchungu na .......? Mungu tusaidie..

Ni fisadi mwingine ndani ya Serikali.
 
Ni fisadi mwingine ndani ya Serikali.

Huyu bwana amejenga maghorofa chungu nzima huku bara na kaoa huku huku ; hivyo anaomba muungano ubakie hivi hivi ili maslahi yake yalindwe!! Ni fisadi mzuri anaeliibia Taifa hili kwa staili ya ukimya!!
 
Back
Top Bottom