Street Heavyweight Lift

mtu mwenyewe huyo hana afya, badala ya kujazia kifua, huyo anajiua tu,
 
Shida ni kuwa ameanzia stage 5 badala ya 1.
 
Hapo alipo ni nzi watakuwa wamemzunguka kwa harufu iliyopo hapo
 
Amekula huyu jamani? Hebu mpeni kwanza chakula, madaktari wenyewe wamegoma, halafu anatafuta nini huyu jamani, chondechonde ndg yangu hebu tafuta kwanza chakula halafu ukishashiba ndiyo uje tizi!
 
Komaa mtu wangu hata Power G alianza hivyo hivyo. Maana siku hizi kutekwa nje nje then Mabwepandee!
 
My friend alienda gym,yule gym master akamwambia huku hakukufai wewe katafute unga wa lishe,naona the same advice applies kwenye pic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…