Huduma ya Strawberry splits hatuna mkuu, labda huko mbeleni tunaweza tengeneza mungu akijalia. Au kama wewe una utaalamu wa kutengeneza take it as an opportunity na nipo tayari kushirkiana nawe kama niataweza. Kwa sasa tunalima na kuuza fresh strawberries na mbogamboga zingine