SUBMAC Member Joined Apr 12, 2024 Posts 11 Reaction score 11 Dec 22, 2024 #1 Itazame hii picha zaidi ya mara mbili na uje na sentensi yoyote ya tafsiri yako.
joseph_mbeya JF-Expert Member Joined Nov 20, 2023 Posts 1,123 Reaction score 2,975 Dec 22, 2024 #2 namuona kama magufuli akiwa ndani ya mwili wa uyu jamaa
Ruwamangi JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 1,357 Reaction score 2,501 Dec 22, 2024 #3 Ni kawaida watu walio fail form four kila kitu huwa wana force. Zero brain huyo
Lastmost JF-Expert Member Joined Jan 30, 2022 Posts 881 Reaction score 1,021 Dec 23, 2024 #4 Namwona kijana mchapakazi na mwenye msimamo hapo,aliyeagiza kuwa ukiwa maeneno Ni machafu,huo uchafu upelekwe kwa viongozi wa eneo husika.
Namwona kijana mchapakazi na mwenye msimamo hapo,aliyeagiza kuwa ukiwa maeneno Ni machafu,huo uchafu upelekwe kwa viongozi wa eneo husika.