Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,043
Hivi huyu Mugalu ana undugu na kocha ama wanagawana mshahara!?wapi MK14,wapi Kibu,wapi muhilu,wapi Ajibu?,tafadhali Simba sio timu ya kujaribu mizigo!
Mugalu ni bonge la striker, ila wa soka la kwenye ndotoHivi huyu Mugalu ana undugu na kocha ama wanagawana mshahara!?wapi MK14,wapi Kibu,wapi muhilu,wapi Ajibu?,tafadhali Simba sio timu ya kujaribu mizigo!
si tulikubaliana anahold mabeki?
Mugalu ni bonge la striker, ila wa soka la kwenye ndoto
Mugalu na Mzamiru ndio wachezaji wanaoongoza kwa kuloga duniani, hata usimseme kocha...Hivi huyu Mugalu ana undugu na kocha ama wanagawana mshahara!?wapi MK14,wapi Kibu,wapi muhilu,wapi Ajibu?,tafadhali Simba sio timu ya kujaribu mizigo!
HAKUNA STRAIKA PALEHivi huyu Mugalu ana undugu na kocha ama wanagawana mshahara!?wapi MK14,wapi Kibu,wapi muhilu,wapi Ajibu?,tafadhali Simba sio timu ya kujaribu mizigo!
Maisha yanabadilika sana leo simba imefika hatua ya kulilia kibu Denis na muhilu wapewe nafasiYusuph Mhilu na Denis kibu wapewe nafasi sasa,mambo ya kukaba mabeki hatutaki.
Mbona hawajawaroga zanaco? River united?YANGA WANAROGA SANA HIZI GAME NA SIMBA MTAMLAUMU MUGALU BURE TUFANYI HILI LIMEPITA WACHA LIGI LIANZE TUONE.
HAKUNA STRAIKA PALE
Maisha yanabadilika sana leo simba imefika hatua ya kulilia kibu Denis na muhilu wapewe nafasi
Kweni mi sijasema hapo kwamba maisha yamebalika sana au kukariri panatokea wapi sasa?Usikariri maisha mkuu lazima tuwape nafasi watu wengine huwezi kuwa bora milele
Mbona hawajawaroga zanaco? River united?
Kwahiyo mwaka wa 4 wanaroga uchawi wao unashindwa kuwapa ubingwa?