Straiker mugalu

YANGA WANAROGA SANA HIZI GAME NA SIMBA MTAMLAUMU MUGALU BURE TUFANYI HILI LIMEPITA WACHA LIGI LIANZE TUONE.
 
YANGA WANAROGA SANA HIZI GAME NA SIMBA MTAMLAUMU MUGALU BURE TUFANYI HILI LIMEPITA WACHA LIGI LIANZE TUONE.
Mbona hawajawaroga zanaco? River united?

Kwahiyo mwaka wa 4 wanaroga uchawi wao unashindwa kuwapa ubingwa?
 
WENYEWE WANASEMA BORA WAFUNGWE TIMU YOYOTE SIO SIMBA HIVYO WANAFANYA CHOCHOTE IPI WASIFUNGWE NA SIMBA BAADA YA HAPO UTASHANGAA WANAKUJA KUPIGWA NA COSTAL
Mbona hawajawaroga zanaco? River united?

Kwahiyo mwaka wa 4 wanaroga uchawi wao unashindwa kuwapa ubingwa?
 
Hivi punde Mugalu na yeye eti kapost status kwenye Instagram yake eti sisi tunaojaji kupaji chake ni wanafiki!!sijaona tofauti ya molinga na Mugalu tena hata molinga alikuwa bora zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom