Godfrey- denis
Member
- Aug 26, 2022
- 64
- 119
| Leo Tujifunze kwa Mfano Halisi 💰📈
Juzi CRDB Bank PLC wameanza kutoa gawio (dividends) kwa wanahisa wake! 🏦💵 Gawio la mwaka huu ni Tsh 65 kwa kila hisa – na guess what? Wanafunzi wangu wa darasa la uwekezaji (kwenye group langu la WhatsApp 📲) waliowekeza kwenye hisa za CRDB wameanza kupokea gawio lao live and direct! 😍
🔁 Wakaanza kushare SMS za magawio yao, kila mmoja kwa kiasi chake alichowekeza.
Na wote hawa hawajafanya kazi yoyote leo – pesa imeingia tu!
💭 Hapo ndipo wengine (ambao bado hawajachukua hatua) wakaanza kuuliza:
“Mbona mimi sijapata? 🤔”
“Hivi huwa inakuaje mtu anapewa pesa na benki? 🏦”
“Aaah! Bora ningesikia mapema ningeanza zamani 😩”
🧠 Sasa Hebu Tuelewe: GAWIO ni Nini?
📌 Gawio ni sehemu ya faida ambayo kampuni inaamua kuigawa kwa wanahisa wake, kulingana na hisa walizonazo.
Mfano: Ukiwa na 1,000 za hisa za CRDB, na kampuni imetangaza gawio la 65 Tsh kwa kila hisa, basi unapata:
👉 1,000 x 65 = 65,000 Tsh
📌Na Makampuni mengine Yanaendele kutoa Gawio Mwaka Huu.
📌 SOMO LA LEO:
Wekeza Leo ili Kesho Upokee Bila Kuvuja Jasho. 💪💼
Pesa unayoitafuta kila siku kupitia biashara au ajira – sehemu yake ipange iende kwenye uwekezaji.
Usisubiri uwe na milioni, anza na kile kidogo ulicho nacho leo.
⏳ Baada ya miaka michache, utakua miongoni mwa wale wanaopokea gawio la mamilioni – bila kuandika invoice wala kukodisha fremu.
GODFREY DENIS
Millennium Investors Community Co-founder
0763721523