Hahaha!!!
Kkuna kipindi ex wangu alikuja na condom tatu... Sasa katika maongezi tukajisahau mpaka akaondoka hatukufanya chochote akaziacha condom... Siku nyingine akaja akaziulizia nikampa moja... Baada ya hapo akahitaji nyingine nikamwambia "sina, ilibaki hiyo tu" weeee asikwambie mtu hasira aliyoipata... Ilibaki sekunde nile makonde... Nikawahi kuzitoa na kumpa [emoji23][emoji23][emoji23]
Anachokifanya huyo dada si kizuri kabisa