Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle

Thanks money penny, ushauri wangu ila sikupangii najua story yako, bundle lako, muda wako ila mapenzi yako kwetu ni makubwa sana barikiwa sana!

Story inayokuja iwe na ladha tofauti kidogo tafadhali bi dada ni mtazamo tu!
 
Unataka niweke miti na mitarimbo tuuu na kusutanaaa na kuchambanaaa au?!

Hehe aya subiria kitabu maana nimechakachua OG stori wabongo si unajua wanaibaaa?!

Hauchelewi kumkuta Ray keshatengeneza movie au single mtambalike hehe

Asante love nimekusoma
 
Duh asante sana kwa mliwazo huu....heri ya sikukuu ya Pasaka Money Penny
 
Duh!, Hongera sana Money Penny Pasaka njema pia sweetie.

"Changudoa malaya kubuhu nalo limeolewa limedondosha mapacha watamu kinyama"

'Side chicks finally walipata their happy Ending'
 
Chokambovu na money penny wedding is on the way. MP still waiting for ya. Si kwa utamu huu
 
Chokambovu na money penny wedding is on the way. MP still waiting for ya. Si kwa utamu huu
Ahahahaha.. aya boss asnate sana

Kitabu itakuwa nzuri sana maana naweka OG storii hii nimechakachuaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…