Story: Kwanini Upo Single?!

Coz naubiri kupendwa.
Staki stress kwa sasa
Doh me nadhani wewe utaishia kuwa kama Mtume Paulo wa kwenye Biblia

Sio kwa ubinafsi huu
Mpende Jirani yako kwanza ndio utapendwa vinginevyo sahau
 
Doh me nadhani wewe utaishia kuwa kama Mtume Paulo wa kwenye Biblia

Sio kwa ubinafsi huu
Mpende Jirani yako kwanza ndio utapendwa vinginevyo sahau

Moyo Wang tulia kwa bwana hapo kuna aman yote
Hivyo vingine n ubatili mtupu
√√√√√√
 
Nilisoma shule za uboizini from primary mpaka advance!..
Mara ya kwanza kusoma Na garl nikiwa chuo kikuu!.
Lakin hisia zao Sina kabisa !.
Ninazo nguvu but garl sina
 
Nipo single cause ubavu wangu/mke mwema mungu hajanipatia ninaowaona wote ni viwavijeshe kwa kupeperusha mali zangu kwa starehe zisizo na maana. Mwisho wa kunukuu
 
Nipo single cause ubavu wangu/mke mwema mungu hajanipatia ninaowaona wote ni viwavijeshe kwa kupeperusha mali zangu kwa starehe zisizo na maana. Mwisho wa kunukuu
 
Acha uoga wewe wazazi wako wangekuwa selfish kama wewe usingezaliwa mjombaa

Jiachie uwowe
Me co muoga ila kla m2 ana aina ya maisha alyochagua. Kla m2 anaona njia yake n sahh ila mungu anaitazama mioyo. Hebu nkuulze ww n sababu ipi inakufanya uolewe / kuoa
 
Nilisoma shule za uboizini from primary mpaka advance!..
Mara ya kwanza kusoma Na garl nikiwa chuo kikuu!.
Lakin hisia zao Sina kabisa !.
Ninazo nguvu but garl sina
Kwahiyo mkuu una hisia na hao uliosoma nao from primary to advance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…