Story: Kwanini Upo Single?!

Jamaaani Tereza mpole hana kiburi
Au unawajua nduguzako wagita ni viburi?!

ha ha haa!

Upole na ukorofi haijawahi kuwa sifa ya jumla! Ukiona mdau anatupia sifa hizi kama blankenti ujue ipo shida, tena shida kubwa mno.

Itoshe kusema sababu za Teresia kupigwa haziko wazi!
 
ha ha haa!

Upole na ukorofi haijawahi kuwa sifa ya jumla! Ukiona mdau anatupia sifa hizi kama blankenti ujue ipo shida, tena shida kubwa mno.

Itoshe kusema sababu za Teresia kupigwa haziko wazi!
Sheedah
 
Nipo single kwa sababu nikiwa kwenye mahusiano huwa nahisi nabanwa.... yaani niache kufanya vitu vya maana eti nichat na wewe....aaaaaaaaargggggghhhhhhh
Hahahaha
Acha ukorofi utakufa na tai shingoni shauriako
 
Kulthum mtoto wa kidigo kutokea Tanga, ana matatizo sana... tena matatizo yake yapo ukeeni...

Anasikitisha sana... though amejaribu kua mkweli... hapo hata Koku anasubiri kwanza...

Mwelu ndiyo anaonekana boya mpaka sasa...

Cc: mahondaw
 
Hahaha ah
Yajayo yanafurahisha upo tayari? !
 
aisee hiyo site mbona immekaa kizee alie itengeneza, iweke vizuri tuwe tuna soma kila siku>>>>HABARI ZERO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…