Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 897
- 1,506
Systemic change refers to deep, fundamental transformation that affects the entire structure of a system — not just surface-level adjustments.
It goes beyond fixing symptoms to address root causes within idara and institutions.
Yaani kwa mwenendo huu tulipofikishwa na hili gonjwa kama nchi haihitaji painkillers bali inahitaji cure tena fulldose.
Kama ni shamba kila msimu tunafyeka magugu yanaota tena kwanini msing'owe Shina na mizizi yake yote.
Nyakati zimebadilika, Ufahamu wa mambo kwa watu umefunuliwa kwa mawimbi ya nguvu inayotetema katika ukuu wa huu ulimwengu kupitia utandawazi.
Yaani siku hizi majambazi wana-vetting system bora kuliko hata serikali huko serikalini idara zinachukua wataalamu kwa vigezo vya rushwa na upendeleo... Hili lipo wazi. chakushangaza hakuna anaekemea wala kuboresha uaribifu huu. Huku ni kuihujumu nchi, je wenye dhamana hawaoni hili, au hii erosion inayoendelea kumomonyoa nchi ndio mpango wao kwamba mifumo ya nchi inakuwa udhaifu arafu mifumo yao binafsi inakuwa imara ili kuweza kuimudu nchi na kulipeleka taifa watakavyo wao... maana haiwezekani kundi flani linakua na nguvu kuliko nchi na watu wanaangalia tu.
Nchi kuingia kwenye machafuko Ni suala la muda tu, kwa kupevuka huku kwa vijana na utandawazi huu... Ni muhimu sana kufanyika kwa mababiliko ya kimfumo kabla haijawa too late ili kikombe hicho tukiepuke.
Mifumo imepitwa na wakati kiasi kwamba Mifigo inawachunga wachungaji kwa kanuni zilezile, just imagine!?
Mifumo ikiboreshwa na kuwa katika ufanisi wake, hakutakua na haja ya kutumia nguvu nyiingi na kulazimisha mambo bali mambo yatajipa yenyewe.