Storeman position in a warehouse

jashmoe32

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,087
423
Habari za siku wajumbe,kuna nafasi za kazi zimetokea huku katika mgodi wa Bulyanhulu na ni nafasi 5 za Storeman katika warehouse.Nimeambatanisha na Tangazo.

Nawasilisha
 
Attachments

  • Job Advert-Storeman.pdf
    757.7 KB · Views: 1,301
Mkuu samahani sana. Attachment uliyoweka mbona haifunguki?

Samahan kwa usumbufu kaka ila ni mara yangu ya kwanza kuattach kitu katka jamii forum,kama unaweza nitumie ur mail address il nkutumie ili uweze pia kuattach na wengne waone.samahan kwa usumbuf
 
Samahan kwa usumbufu kaka ila ni mara yangu ya kwanza kuattach kitu katka jamii forum,kama unaweza nitumie ur mail address il nkutumie ili uweze pia kuattach na wengne waone.samahan kwa usumbuf

Inafunguka mkuu. Mia
 
Ahsante Jashmoe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Poa kaka na nlitaka kuangaikia tena sasa hivi mana jamaa alinishtua alivosema haifunguki yl jana nliona kua imekubali although ni mara yangu ya kwanza kuattach
 
acha utapeli hakuna nafasi zilizotangazwa bulyanulh... chukueni tahadhali kwa huyu tapeli badae ataanza kuwapigia cm kuomba atumiwe hela kwenye m-pesa
 
In additional,closing date mbona ni 12 Augost 2012,acha kukurupuka before u bring thngs out,did u double check detailz well?coz am seeing deadline ni mwaka jana 12 of augost
 
Siwezi kuomba hela kwa mtu yoyote zaidi ya kwa wazaz wangu na ni Internal advertizment ambayo imetolewa huku Buly katka department ya warehouse na hii imetokana na watu kuresign kutokana na kuogopa kufukuzwa kutokana na kashfa walizokua nazo.Naomba uwasliane na Barrick ya Dar na watakusaidia abt hili tangazo na jua kua Tangazo lnaanzia Internal then wasipopata watu wanatangaza katika media.
Nafanya kazi Barrick as an Engineer na yoyote akipgiwa simu na mm kuhusu nimtumie hela naomba aseme wazi.
Nashukuru kwa kundhalilisha kaka
ndugu humu JF kuna watu wanamna nyingi sana kwahiyo kuwa mvumilivu tu..
ila hata mimi nimecross check hilo tangazo vipi kuhusu hiyo deadline ..
12.08.2012 ukweli wake ukoje...?
 
Guys,ni tangazo chini wameandka tarehe 12 Aug 2012 ila ni tarehe 12 Aug 2013 na ni kweli wametangaza na kweli deadline ni 12 Aug jaman na mimi siwez kuwadanganya mana nafasi zimetokea baada ya jamaa wengine kuresign due to kashfa za wizi ambazo zilikua znaandama hiyo department
asante kwa taarifa natumaini wenye ukuelewa watazingatia umekuwa mwenye ukarimu ukashare na wengine habari .. naamini mwenye shida atazingatia..
 
Habari za siku wajumbe,kuna nafasi za kazi zimetokea huku katika mgodi wa Bulyanhulu na ni nafasi 5 za Storeman katika warehouse.Nimeambatanisha na Tangazo.

Nawasilisha

Mbona deadline ya 2012 tena?
 
Guys,ni tangazo chini wameandka tarehe 12 Aug 2012 ila ni tarehe 12 Aug 2013 na ni kweli wametangaza na kweli deadline ni 12 Aug jaman na mimi siwez kuwadanganya mana nafasi zimetokea baada ya jamaa wengine kuresign due to kashfa za wizi ambazo zilikua znaandama hiyo department

Acha uongo wewe tapeli..nipo hapa buly,hakuna kitu kama watu kufukuzwa watu kwa ajili ya wizi...kinacho endelea sasa buly ni retreachment na wameanza na plant na earth work..mimi nipo buly tena admin acha uongo wewe.
 
Back
Top Bottom