Sadly enough we do not have that facilityHivi kampuni zipi credible and preferably international zinafanya storage ya dhahabu hapa Dar kabla kupelekwa nje?
Je serikali inayo storage zak?e na rates kiasi gani kwa wiki au kwa mwezi?
Je SGS wanafanya hiyo kazi ya storage?