Democracy999
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 945
- 190
Nyerere and Karume's target was to go to one Government slowly, je baada ya matatizo yalioanza ya serikali ya Zanzibar isiyotambulika nje ya mipaka ya Tanzania kuanza kufanya vitendo vya kigaidi na hatari kwa kisingizio kuwa hilo si swala la Muungano, Wandugu wa JF kwanini tusianze sisi kampeni ya kutaka wazo la Nyerere na Karume likamilike? Serikali moja tu nchi nzima!