mkuu unamaana gani?[/QUOTE
jioni njema EJ mosi, hapo kwakokwema?
Iko wazi kabisa siasa za kukandamizana zinafahamika, Wafahamu kuwa Mtwara,Tanga,Lindi ,kusini mwambao
hao walipuuzwa kwa miaka mingi sasa
Wengi wetu tulikuwa wapi? kutotambua hilo ? vipi sasa ma Sympathizer mmejitokeza kama jua la asubuhi na kubobesha
waendelee kupambana na DOLA au nguvu zaidi ya uwezo wao? Je mnataka wazidi kupata umasikini na Walemae na kupewa mkongoto na adabu ya maisha.... kama kweli ipo rai na nia njema Simuongozane ikulu !! Or elswhere!!
Tafadhali msiengeze petroli kwenye moto, kesho mtawafaraji vipi hao wahanga vilema.? nawasilisha God forbide