Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
Ulikuwa unakunywa mbege hapo kwa mzee Nnyari nini? Yaani hutaki mjadala unataka watu wasiseme ili iweje?Ndugu wana jf. Naomba kuwasihi kuacha mijadala kuhusu Gesi,kama Bunge linaarishwa basi n wazi hata mojadala inachangia kuhamasisha hvyo tuache mijadala hiyo. Serikali wao napendekeza warejee kauli ya " Baba wa taifa kuhusu Madini"
Ulikuwa unakunywa mbege
hapo kwa mzee Nnyari nini? Yaani hutaki mjadala unataka watu wasiseme
ili iweje?
Ndugu wana jf.
Naomba kuwasihi kuacha mijadala kuhusu Gesi,kama Bunge linaarishwa basi n
wazi hata mojadala inachangia kuhamasisha hvyo tuache mijadala hiyo.
Serikali wao napendekeza warejee kauli ya " Baba wa taifa kuhusu
Madini"
Jini mlilolilea na kulikuza limewagaukia kunza kula watoto wenu......
Uzalendo ni kutetea
raslimali zetu sio kukaa kimya kama unavyodai. Waulize watu wa Buhemba
walicheka na nyani sasa wanavuna mabua, nenda Geita, tembelea vijiji vya
Nyakabale, nenda Kahama ujionee jamaa wanavyohamisha Prof. juzi kasema
mwenyewe kwamba wamekamata madini ya thamani ya Bil 13 zikihamishwa
kishikaji wewe unataka kutwambia nini BWANA Kula samaki nchanga ukalale
TAFAKARI!!!!!!!!!!!!:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A
S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
Jini mlilolilea na kulikuza limewagaukia kunza kula watoto wenu......
Hueleweki poti,vp Nkoarisambo kitambo hujafika.
Mkuu sina maana mbaya bali napenda watu wajikite zaidi kwenye kujadili hatma ya rasmali yetu hii na kuacha kushabikia vurugu za Mtwara,kumbuka si nia ya muungwana kuona damu ya mtu inamwagika kiholela. ukitizama hili jambo utaona Serikali imeshindwa kutumia busara sasa napenda ss tuonyeshe Busara zaidi ili baadae tuipe serikali hii hukumu stailiki
duuuuh umeamkia toka wapi ndugu. mbona uan hasira hivyo? serikali yako ndiyo inaondoka.
Sina Hasira Mkuu bali hali halisi n kwamba watu watapoteza uhai bila ya Serikali kujali hvyo tutapoteza ndugu zetu,wake zetu,waume zetu hivyo tuonyeshe Ukomavu na kuachana na suala la Gesi na tutizame tu watakavyofanya kisha rungu letu tulihamishie 2015 hawa hawasikii chochote na hakuna huruma hapa.
tatizo CCM hawajasoma
alama za nyakati na kwamba wanadhani wanayofanya yatawafikisha popote.
hivi mikoa yote wakiamua kuingia barabarani itakuwaje? watu wamechoka na
maisha ..katika safari ya ukombozi mwiko kurudi nyuma