Stimu zilikata baada ya kuyavua makalio

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,828
4,553
Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kutundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini.

Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk akaamua kunidanganya kizembe namna hii? Ili siku nyingine nisiibiwe natakiwa kuyakagua vipi haya makalio? Maana ukiyatomasa yanatomasika kama makalio halisi.

Hebu watoto wa mjini mnisaidie. Ninyi mshawahi kupigwa kizembe hivi? Kama hamjawahi, huwa mnayagundua vipi makalio feki?


Makalio yenyewe haya hapa:

 
Kuna Bidada nilikutana naye Cafe Moja, akiwa kama msimamizi .

Alikua na matako makubwa

Sasa tukaelewana, oyaaa, Kila nikamwambia Tangulia Lodge fulan nikukuta, Demu anakua na Kona nyingi sanaaa .

Ananiambia nitangulie .

Nikaja nikachukua room, akaja, kuvua nguo hataki, Kuna wakati nikatoka nje ya lodge.

Nilivyorudi, nikakuita Demu mwembamba Hana taki Hana hips.

Kuna zile suruali wanazovaa zipo Zina masponji


Anyway, nilimchakata ivoivo bao Moja tu na sikurudia Tena nikaondoka usiku huohuo.
 
😂😂😂😂Tyiping.....
 
Yatakuwa ya ka Depal nini? Hebu weka na picha tuone jinsi kalivyobaki kimbaumbau!😁😁😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…