Still> unatumia Nokia N73

Still> unatumia Nokia N73

Surgical Blade

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
349
Reaction score
16
kama ni mtumiaji wa Nokia N73,
waweza kuandika SMS kwa ku copy na kupest text, kutoka kwenye Opera mini,

STEP
fungua operamini yako ukisha yaona maneno unayotaka kuya copy>
Fanya kama kawaida yaan hold hiyo centre Selection key yako na select kwa ku high light hizo text, na fanya selection ya copy.
Baada ya hapo waweza ku iminimize operamini ya ko nakuingia katika massage body,
select new message,
SASA ili ku paste text ulizotoa Operamini,
hold hiyo editing key yako yenye alama ya penseli
iliyo kwenye kona ya mwisho upande wa kushoto.
bila kuachilia utaweza kuona neno paste kwenye (back) key likijitokeza, hapo utaweza kupest text zako ulizotoa Operamin
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom