Kinachokusumbua Bwana mdogo ni siasa za majitaka za kujadili watu na sio hoja.........embu chambua hii hoja;DR. Slaa: ''Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria''.Huwezi kuwa mwanasiasa kwa haya mambo yako ni mtu wa jazba na siasa majitaka. Jitahidini muunde chama kitaasisi zaidi na sio kifamilia (rejea mtikila chadema chumbani na chadema sebuleni),Sasa kwenye hiyo post yako umeejadili nini?makosa ya spelling kila mtu hufanya hata wewe mara kwa mara hufanya ila watu wanaacha sababu ni kawaida. Kuhusu Wasira kwa maoni yangu na ya wengi ni kwamba amejadili mambo ya msingi sana au ndio unataka JF ijae mambo ya DVD za Lema, ambazo hasemi kilichomo. Acha mambo yako dogo!!Angewaonya pia juu ya tabia ya ubaguzi na wasiige tabia yake mbaya iliyomfikisha kwenye hatua ya kuikana familia yake .Waziri wa mahusiano anayeshindewa hata kuweka misingi ya mahusiano ndani ya familia na ukoo wake
What a shame?
NB: Mleta mada jielimishe pia juu ya kuandika majina ya watu.Herufi kubwa hutumika mwanzoni mwa jina la mtu
Mfano Mwl.Julius Kambarage Nyerere.
Pia Wassira alisahau kukuasa wewe na wasomi wenzako kuhusu hili
Kinachokusumbua Bwana mdogo ni siasa za majitaka za kujadili watu na sio hoja.........embu chambua hii hoja;DR. Slaa: ''Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria''.Huwezi kuwa mwanasiasa kwa haya mambo yako ni mtu wa jazba na siasa majitaka. Jitahidini muunde chama kitaasisi zaidi na sio kifamilia (rejea mtikila chadema chumbani na chadema sebuleni),Sasa kwenye hiyo post yako umeejadili nini?makosa ya spelling kila mtu hufanya hata wewe mara kwa mara hufanya ila watu wanaacha sababu ni kawaida. Kuhusu Wasira kwa maoni yangu na ya wengi ni kwamba amejadili mambo ya msingi sana au ndio unataka JF ijae mambo ya DVD za Lema, ambazo hasemi kilichomo. Acha mambo yako dogo!!
Kuhusu Gongo?
Rejea ukweli huu wa Entrepreneur
"Suala si kumtetea mtu, bali kujadili hoja zilizopo mezani. Hata kama hoja hizo zmetolewa na mpinzani wako kisiasa ni vyema kukubaliana nazo kama zina mashiko.
Sasa ukweli ni HUU,
Alichokisema Dr. Slaa si kipya ktk Taifa hili kwani tayari kina msingi wa
kisheria, tena zilizoandaliwa chini ya Serikali ya CCM.
Rejea; The Moshi (Manufacture and Distillation) Act, 1966 na The Traditional Liquor (Control and Distillation) Act Cap 385.
Sheria hizo zimeweka msingi wa namna ya kutengeneza, kusambaza na kuuza
pombe hiyo (Gongo/Piwa/Moshi)
Sheria hiyo pia inaunda Mamlaka ya Usimamizi na Utoaji leseni. Kama
serikali yetu sikivu ya CCM ingeamua kutekeleza sheria hizi kwa wakati huenda Taifa letu lisingeshuhudia vifo vinavyotokana na unywaji wa Pombe ambazo ubora wake unatiliwa mashaka kwani zingekuwa zinapimwa kwanza.
Kwa Taarifa tu ni kuwa Chief Quality Assurance kutoka TBS amewahi kuthibitisha ubora wa Pombe ya Gongo kutokea Kagera kupitia kipimo cha
Portable Spirit Specification TZS 468:1992 na kusema haina matatizo
yoyote kiafya"
haina madhara yoyote kiafya na inaitwa pombe?????!!!!!
Hebu mku nifafanulie hapo??!!!!
tzs 468:1992
Vijana wasomi wa vyuo vikuu nchini wameonywa kuwa wasipotumia taakuma yao kupambanua ukweli na uwongo wa vyama vya kisiasa, wataendelea kuwa wateja wa wanasiasa uchwara na wanaochumia matumbo.
Wassira aliyagungumza hayo alipokuwa amealikwa kwenye kongamano lililofanyika mwanza na kushirikisha vyuo mbalimbali kama SAUTI- MWANZA,CBE-MWANZA.
Pia kutambua kuwa hakuna uhusiano kati yafedha na akili hivyo watumie elimu na maarifa katika kupata viongozi bora wanaojali watu,
Ndio nini hapo kwenye red??
Wasira ni hazina
Sasa kuna wachumia tumbo kama hiki chama cha kifamilia Ccm? huyu mzee vipi jamani? Ccm baba akstaafu mama anachukua nafasi mama akitoka mtoto nk Wasomi wanaendelea kunyanyasika kwa bla bla za uongozi wa magamba.
silly comment
Vijana wasomi wa vyuo vikuu nchini wameonywa kuwa wasipotumia taakuma yao kupambanua ukweli na uwongo wa vyama vya kisiasa, wataendelea kuwa wateja wa wanasiasa uchwara na wanaochumia matumbo.
Wassira aliyagungumza hayo alipokuwa amealikwa kwenye kongamano lililofanyika mwanza na kushirikisha vyuo mbalimbali kama SAUTI- MWANZA,CBE-MWANZA.
Pia kutambua kuwa hakuna uhusiano kati yafedha na akili hivyo watumie elimu na maarifa katika kupata viongozi bora wanaojali watu, nasio ukoo au ukanda.
Wasira akieleza kuwa fedha zinawezesha kupata elimu lakini hazina mahusiano na akilina kuwa hakuna anayeweza kuziiba.
Wassira ni waziri wa nchi ofisi ya rais mahusiano na uratibu ni moja kati ya viongozi waliowahi kuteuliwa na HAYATI baba wa taifa mwalimu julius kambarage nyerere. akiwa mkuu wa wa wa mkoa wa Pwani.

Angewaonya pia juu ya
tabia ya ubaguzi na wasiige tabia yake mbaya iliyomfikisha kwenye hatua
ya kuikana familia yake .Waziri wa mahusiano anayeshindewa hata kuweka
misingi ya mahusiano ndani ya familia na ukoo wake
What a shame?
NB: Mleta mada jielimishe pia juu ya kuandika majina ya watu.Herufi
kubwa hutumika mwanzoni mwa jina la mtu
Mfano Mwl.Julius Kambarage Nyerere.
Pia Wassira alisahau kukuasa wewe na wasomi wenzako kuhusu hili
Kukurupuka hakutaisha kamwe! Bado mna safari ndefu mno!