GE2025 Steve Nyerere: Upinzani umeshindwa kuonesha nguvu katika Kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.

Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.​
 
Hata sijaelewa.
 
Huyu nae u layman unamsumbua tu!!
 
Mijitu kama hii hata wakati wa Mwalimu alipokuwa anadai Uhuru wa nchi ilikuwepo. Ni ya kudharau tu.
 
..Ccm wamechangisha BILLIONI 100 kwa ajili ya kampeni.

..vyama vya upinzani vinavyoshiriki havina hata uwezo wa kujaza mafuta gari walizopewa na Tume ya Uchaguzi.
 
Kuna siku niliwaza hapa endapo hiyo oct 29 yakatokea kweli kuna watu wataishi kama umbwa mwenye gono
 
Mmepiga pin kampeni maanake hakuna upinzani..

huyo dogo analopoka sana!
 
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.

Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.​
K​

Kuwadi akijaribu kujenga hoja....​
 
Ukisifia TCRA awakugusi ila ukikosoa mbaya
 
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.

Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.​

Yaani mtu mwenyewe hata jina lake ni fake wewe na akili zako eti unaenda kumsikiliza!. Misukule kweli kweli Yaani mnataka kuaminisha watu kuwa maigizo sasa ni kweli!!!
 
Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao, Steve Nyerere, ameweka bayana tathmini yake ya hali ya kisiasa baada ya siku 24 tangu kuanza rasmi kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mnamo Agosti 28, 2025.

Katika tathmini yake, Steve amesema vyama vingi vya upinzani havijaonyesha uimara wao, tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kimeendelea kuvutia maelfu ya wananchi katika mikutano yake na kuonekana kukubalika zaidi katika maeneo mengi nchini.​
View attachment 3477705Steve hakuna mtanzania fala tena, tena afadhali sisi kuliko hao wanaokuja​
 
Back
Top Bottom