Msanii
Steven Mengere kwenye Challenge ya Chai na Vitumbua kama kifungua kinywa ambacho
Rais Samia Suluhu Hassan alikimwagia sifa akiwa Mkoani Tanga.
View attachment 3253325
Kwa hakika hapa inatosha kuonesha kuwa hapaswi kutumia jina la Nyerere tena maana mental yake imeshakuwa tofauti kabsa na wasifu wa jina hilo. Kwa sasa Tanzania kila chawa atachanganyikiwa ni suala la muda tu.
View attachment 3253326
Baada ya uchaguzi watarudi kwenye
factory settings, kwa sasa hawaoni kuwa wanaonekana mapunguwani. Wanachofanya hawa watu ni matusi kwani wanaelekea kumpa utukufu bandia Rais Samia kwa kigezo cha kupata ugali mwepesi.
View attachment 3253327
Pumzika kwa Amani
Baba Nyerere π huku kuna mtu ana IQ ya 20 anatumia ubin wako kuonesha mambo ya ajabu. Inashikitisha sana kuona watu wanafanya mambo ambayo hana tija yoyote wala faida kwa taifa na bado anajiona ana utimamu sawa na wanafamilia wa Nyerere?!
Madaraka Nyerere pelekeni hii chawa mahakamani iache kutumia jina la Nyerere.