kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,428
- 13,936
Mh. Makonda alimhusisha Wema na kosa la madawa ya kulevya, lakini kwenye ujumbe wa mazungumzo uliorekodiwa kati ya Steven Nyerere na mama Wema alisikika Steve akiwahusisha Mh. Mwigulu, Nape na hata Rais mstaafu JK katika sakata la kumsaidia Wema Sepeku atoke mahabusu alikukokuwa ameshikiliwa kwa tuhuma hizo.
Nilikuwa nikijiuliza mwenyewe kwa sauti kuwa kuna uhusiano gani kati ya vita ya madawa ya kulevya, Wema Sepetu, Mama Wema Sepetu, Steve Nyerere, Mh. Mwigulu, Mh. Nape na Mh. JK hata iwe rahisi kwa Steven Nyerere na Mama Wema kuwataja kwenye maongezi yao na mama Wema kama watu muhimu ambao wangeweza kumsaidia Wema Sepetu kutoka kwenye mikono ya polisi wa Makonda?
Nilivyomsikia Steven Nyerere akiwaomba msamaha wahaeshimiwa hao kwa kisingizio kuwa eti alitumia sanaa katika kumbakiza Wema CCM haikuniingia akilini kabisa. Hivi Wema Sepetu ana umuhimu gani kwenye CCM unaozidi heshima za waheshimiwa aliowataja kwenye sakata la madawa ya kulenya la Wema? Why Mwigulu, Nape and JK not others?
Hapo sanaa yako inataka kuifikishia hadhira ujumbe gani kuhusu waheshimiwa uliowataja, madawa ya kulevya, Steven Nyerere, Wema Sepetu na Mama Sepetu?