Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
na kwanini askari amtukane raia kuwa ni ''mjinga?'''wasanii waache bangi kwsnn aMemtukna askari?
Alikuwa busy na wadada wa bongo movie,Kuongea sana nako kuna madhara yake.
sijawah kusikia wala kusoma kuna dereva amekamatwa kwa ishu ya pombeKutokana na maelezo yaliyotolewa kaka yangu Steve atakuwa amekosea. Dereva ni lazima uwe katika hali ya kuwa tayari kusimama anytime, sasa kama Funcargo imesimama, iwaje Steve aiingie mzimamzima na kuna mtu anasimamisha magari na fundi anayeendelea na kazi?
By the way, mapolisi walikuwa na alcohol detection device?
SI anaonekana kwenye VIDEOwasanii waache bangi kwsnn aMemtukna askari?
na kwanini askari amtukane raia kuwa ni ''mjinga?'''