Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,095
- 285,803
Vigogo wa serikali.....Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
View attachment 3407310
Unaambiwa huyu ndio tegemeo la awamu ya 6Yaani huyu anaejibu ni aibu hata kumpa hiyo kazi ya kujibu.
NaamVigogo wa serikali.....
Sawa sawaNaam
Anatajwa kama ofisa wa ikuluSawa sawa
Daaa Kiriku kutaka kubeba mzigo wa Semi la tani 20Huyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
View attachment 3407310
Neno vigogo ni mimi sijui maana yake au limetumika vibaya?? Au CCM ndio imetupeleka hapa? Siku si nyingi Baba Levo na Mwijaku pia watatambulika kama vigogoHuyu hapa ni Steve Nyerere ambaye mara kadhaa ametajwa kama Ofisa wa Ikulu ya Tanzania.
Msome anavyomchambua Polepole.
View attachment 3407310
Kigogo wa serikali ni mtu mzito sana, ofisa wa ikulu ni mdogo?Neno vigogo ni mimi sijui maana yake au limetumika vibaya?? Au CCM ndio imetupeleka hapa? Siku si nyingi Baba Levo na Mwijaku pia watatambulika kama vigogo
ππππππTulikofikia nchi imekuwa ni bongo movie tupu..!!