Ingekuwa ndio matajiri wa kibongo wala tusingejua hata ugonjwa uliomua ingekuwa ni uvumi tu oh jamaa alikuwa anaumwa hiki mara ah sio hivyo alikuwa anaumwa ....huoni kenchi zilivyopanda,mara ah huoni alivyokuwa anaanguka anguka anaumwa....
Angalizo,sio vibaya kusema ugonjwa ulionao hasa ukiwa public figure,usiache watu kila mtu aseme analolijua yeye