Amekuwa mbunge na kiongozi tangu miaka ya 70. Amefanya kipi significant kwenye jamii aliyoiongoza au kuiwakilisha?
Ungesema mwanasiasa Malaya wa siasa na mlopokaji ningeunga mkono, au neno thabiti siku hizi lina maana hizo nilizotaja???
Alijenga hoja madhubuti kwa Baba wa Taifa na kukubali kuanzisha wilaya ya Bunda yenye majimbo mawili.
Miradi ya maendeleo jimbo la Bunda,Maji,Afya,Kilimo na Barabara.
Katila wizara zote alizoongoza amekuwa mwadilifu,mzalendo na mtekelezaji.
Kwa Lugha hii uliotumia unadahani nani Kati yako wewe na yeye(Wassira) nani kaonenekana mropokaji na mjinga? Ni vyema uwe unafikirikwanza kabla ya kuandika.
Unaemsema hivyo ni Mbunge anaechaguliwa na kushinda mara nyingi katika jimbo lake na isitoshe kuna tetesi anaweza kuwa Mgombea urais 2015 kupitia CCM.
Jitafakari.
Mwaka 2009 nilibahatika kutembelea Bunda ambapo nilikaa kwa siku tatu.
Watu wanaopata maji safi ya kutumia ya bomba pengine ni chini ya 5%.
Wafugaji niliowaona around walikuwa katika halu mbaya ya umasikini na kuhama hama.
Sikuona mradi wowote wa kilimo ukiacha kilimo holela cha kutegemea mvua
Matokeo ya mitihani kwa miaka yote Bunda imekuwa haifanyi vizuri hali inayoashiria ukosefu wa vitendea kazi
Hospitali ya wilaya ya Bunda ni kituko, upungufu hadi wa vyoo
Usambaaji wa umeme wilayani bunda ni duni na wananchi walio na huduma ya umeme (sikuwa na uhakika kama ni wa TANESCO au generator) ni wachache saana...
Kwa kipindi alichokuwa waziri wa maji hakuna cha maana alichofanya tumkumbuke nacho...
Wizara anayohudumu kwa sasa ndio ameshindwa kabisa kuimarisha mahusiano kati ya ikulu na wananchi. Mara ya mwisho alidiriki kutofautiana na raisi kwa yeye kuapa kuwa hawatawaita tena wapinzani ikulu
Kikubwa alichoifanyia CCM ni kutabiri kuwa CDM ingekufa mwaka 2013, ambapo nalo alichemsha...
siku 3 ulizokaa hapo bunda zatosha kusema chochote? isitoshe ulikuwa single point. au ndo akili za kibavicha ukifika kijiji kimoja then umemaliza jimbo zima. eti <5% ndo wanapata maji! day dreamer. hujui chochote we kimsukule cha kibavicha
Alijenga hoja madhubuti kwa Baba wa Taifa na kukubali kuanzisha wilaya ya Bunda yenye majimbo mawili.
Miradi ya maendeleo jimbo la Bunda,Maji,Afya,Kilimo na Barabara.
Katila wizara zote alizoongoza amekuwa mwadilifu,mzalendo na mtekelezaji.
wewe jamaa naomba ututake radhi watu wa bunda kwan uyo wassra wako hajawai kufanya ayo yote unayo yasema kama unamgia debempgie kvngne kwanza anatuaibsha watu wa bunda na mengne meng mabaya namfchia tu
BUNDA! wasira kafanya nini hapa zaidi ya kuroga wapinzani wake kisiasa. maji tu yamemushida zile bn 7 za 2006 akiwa waziri wa maji kampa mwanae kambarage kaanzishia kampuni ya ujenzi.
alijenga hoja madhubuti kwa baba wa taifa na kukubali kuanzisha wilaya ya bunda yenye majimbo mawili.
Miradi ya maendeleo jimbo la bunda,maji,afya,kilimo na barabara.
Katila wizara zote alizoongoza amekuwa mwadilifu,mzalendo na mtekelezaji.
wilaya ya bunda inaongoza kwa umasikini tanzania, wasira alipewa adhabu na mahakama asigombee ubunge miaka mitano kwa kuwa alikuwa corrupt,hospitali ya ddh bunda na manyamanyama ni janga,bora zigeuzwe mochwari,zao la pamba limekufa japo alikuwa na dhamana kama waziri wa kilimo kuliboresha,amechoka,yeye ni simba mzee,hafundishwi mbinu mpya
nimepita huko si muda mwingi uliopita,nilichoona ni umasikini uliokithiri,mtu aliyefika bunda mwaka 1990 hataona tofautikubwa katika maisha ya watu,wengi ni maskini wa kutupwa ndio maana hata wasira kaamua kujenga dar tu,zaidi ya nyumba yake ya virian na manyamanyama, nyingine zote ziko dar likiwemo duka lake la kuuza samaki lenye ghorofa moja,kaiacha bunda maskini hata mwibara ikiwa wilaya itaipita bundahoja huna na maelezo yako yanapwaya, mbona kijijini kwetu guta wanalima pamba, umefika mariwanda,nyangere na salama?
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, wassira amekuwa mstari wa mbele kama mtetezi wa wakulima wa bunda na tanzania nzima.
Kama utafanyia kazi habari za tanzania daima lazima upotee njia.
Nenda kalete taarifa sahihi baada ya viroba kuisha kichwani.
Ninachoona hapa ni ushabiki na hoja mfu, tangaza nia ya kugombea ili ushindane na Wassira uone utakavyoabika.nimepita huko si muda mwingi uliopita,nilichoona ni umasikini uliokithiri,mtu aliyefika bunda mwaka 1990 hataona tofautikubwa katika maisha ya watu,wengi ni maskini wa kutupwa ndio maana hata wasira kaamua kujenga dar tu,zaidi ya nyumba yake ya virian na manyamanyama, nyingine zote ziko dar likiwemo duka lake la kuuza samaki lenye ghorofa moja,kaiacha bunda maskini hata mwibara ikiwa wilaya itaipita bunda