NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 13,622
- 13,903
Nobody deserves to live in a house like that in the background especially in a rural area where the cost of construction is very low.
This was last yearView attachment 359966 View attachment 359967 View attachment 359968 View attachment 359969 View attachment 359970 View attachment 359966 View attachment 359967 View attachment 359968 View attachment 359969 View attachment 359970 View attachment 359966 View attachment 359967 View attachment 359968 View attachment 359969 View attachment 359970 After Jay Z and Beyonce, more US celebrities keep flowing into Tanzania to help in curbing the extreme poverty among the citizens. I think this is a good move. I dream of an East Africa where no country is an LDC by 2030.
Nobody deserves to live in a house like that in the background especially in a rural area where the cost of construction is very low.
Mimi nilidhani Tanzania ni land of milk and honey hamna umaskini kila mtu tajiri.Nakuwekea video za Turkana kuondoa unafiki kuna moja wanapika dog kama last meal
Kwa hivo kama ni 2013 inamaanisha hao watu washajenga ma mansion kama zile za Muthaiga hawaishi kwa hayo mazingira tena ama?that was 2013...ulivyoileta ni kama this offseason...
Kwani Kenya nzima wameshanyenga Mansions kwa kuwa si LDC tena??..Kwa hivo kama ni 2013 inamaanisha hao watu washajenga ma mansion kama zile za Muthaiga hawaishi kwa hayo mazingira tena ama?
Look at the Turkana thread and tell me if it is anything close to that. Zuzu wa kupindukiaNairobiWalker, umeambiwa kambi ya Wakimbizi Nyarugusi 2014! Hebu weka picha kambi ya Daadab hapa au hata Turkana. Na-collect picha usiwe na wasi. Haki ya Mungu hao Wakimbizi wana maisha bora kuliko Kenyans in Turkana n Lodwar.
Kwani Kenya nzima wameshanyenga Mansions kwa kuwa si LDC tena??..
deep down they know the truth, majority of kenyans live in absolute squalor.#its a dogs lifeNairobiWalker, umeambiwa kambi ya Wakimbizi Nyarugusi 2014! Hebu weka picha kambi ya Daadab hapa au hata Turkana. Na-collect picha usiwe na wasi. Haki ya Mungu hao Wakimbizi wana maisha bora kuliko Kenyans in Turkana n Lodwar.
Aisee punguza hasira.Uache upumbavu nyumba za Turkana zikoje? At least unaona bricks za kuchoma na aluminium roof tops
ni wapi nimesema hivyo?..ama umeshindwa kuelewa swali langu?Kenya is not LDC. Get your facts right.
Kwani Kenya nzima wameshajenga Mansions kwa kuwa si LDC tena??..