Stendi ya mabasi ubungo ilisha hamia mbezi .

Stendi ya mabasi ubungo ilisha hamia mbezi .

lecture

Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
17
Reaction score
3
tarehe 21 january ndio tarehe iliyotangazwa kwamba stendi ya mabasi yaendayo mikoani ubungo itahamia mbezi louis ili kupisha mradi wa mabasi yaendayo kasi, lakini mpaka leo agizo halijatekelezwa na ujenzi unaendelea katika msongamano mkubwa wa foleni, je waziri anatoa kauli gani kuhusu hili.
 
haukua uamuzi sahihi wa kuhamisha hiyo stendi kwenda mbezi, wamegundua hilo ndio maana wamekaa kimya
 
yale yale ya ving'amuzi. wamechemka wanaona aibu kurudia analogy. magamba wana maamuzi ya jazba bila kuangalia future itakuwaje.
 
Matokeo ya kidato cha nne yaliichanganya serikali na wakasahau majukumu mengine, kwa sasa wanashughulikia kesi ya Lwakatare na walikuwa na matayarisho ya ugeni wa Rais hina.Serikali ina kazi nyingi sana.
 
Back
Top Bottom