Nadhani kampuni hii imeajiri mafundi, madereva na logisticians, lakini upande wa Housekeeping ni zero.
Hatari ya kubeba magonjwa kwa wale wanaotumia toilets za hapa ni kubwa sana, ukizingatia kwa siku anapitisha hapa abiria wasiopungua 400.
Manispaa ya Morogoro, mpitieni huyu mtu mkamsalimie.
hivi vya kwenu mbona vinatisha hivi, mie nimepita hapo tar 26 na nilienda toilet, nadhani vya kike vina nafuu.
Nyamayao,
Vya kiume ni hatare tupu.
Kwa mtu sensitive ukiingia humo ndani haja inakata. Bora uzunguke nyuma ya jengo ujibanze hata kwenye mstimu.
Hapa chini toilets za stendi ya Hood ya Morogoro kama nilivyokutana nazo leo.
Nimeshindwa kubaini kwa kampuni kubwa kama Hood yenye mabasi makubwa yasiyopungua 50 kuwa na vyoo vichafu namna hii.
Je issue ni priorities?

Hawa watu ni wachafu sana, nashukuru mleta uzi umenikumbusha. Wananikera jinsi wanavyojali fedha bila afya za wateja wao, ni kweli hawana mpinzani katika njia ya Mbeya - Arusha lakini angalia hoteli wanazosimamisha mabasi yao kwa ajili ya chakula kwa abiria ni zile chafu sana za Waarabu mfano Liverpool na Aljazeera ambazo huuza viporo na mazingira yao ni machafu sana. HOOD jirekebisheni mnakera!!
itakuwa ndio hapo huduma za ovyo kweli na mazingira machafu..sijui ndio tulikula hapo, wahudumu wao wote full baibui, nilienda kwenye choma njaa ilikatika ghafla, hiyo nyama ukiiangalia tu hamu yote inaisha.
hizo tiles na hilo limkopo sijui ndoo hapo oweii, na kuna watu wanatumia hivyo hivyo jamani, kha, halafu kigoforani kuna maofisi za maboss,wangekuwa wanatumia hizo toilets wangezirekebisha zamanai, wao wana zao humo juu hawana habari.
Hawa watu ni wachafu sana, nashukuru mleta uzi umenikumbusha. Wananikera jinsi wanavyojali fedha bila afya za wateja wao, ni kweli hawana mpinzani katika njia ya Mbeya - Arusha lakini angalia hoteli wanazosimamisha mabasi yao kwa ajili ya chakula kwa abiria ni zile chafu sana za Waarabu mfano Liverpool na Aljazeera ambazo huuza viporo na mazingira yao ni machafu sana. HOOD jirekebisheni mnakera!!
Broda hii ni point kali sana.Manispaa yenyewe ipo mfukoni mwa mwenye kampuni, mabibi na mabwana afya wanakimbizana na mamalishe mitaani, kweli utumwa, ukoloni haujatoweka kabisa Tanzania
Tunatofautiana maonjo japo wote tunasafiri kwa means moja.hizo tiles na hilo limkopo sijui ndoo hapo oweii, na kuna watu wanatumia hivyo hivyo jamani, kha, halafu kigoforani kuna maofisi za maboss,wangekuwa wanatumia hizo toilets wangezirekebisha zamanai, wao wana zao humo juu hawana habari.
Dont tell me hiyo ndo kazi ya wale njiwa kwa maelfu waliofugwa pale ndani.Mlipelekwa huko ili wale njiwa wakague kama wapo wenye sifa ya kutolewa kafara
Ukweli sehemu wanazosimamisha mabasi kula hawa watu ni majanga tupu, na ajabu kbsa hawaendi na wakati. Kuna hoteli mpya kibao kati mombo na segera, lakini the guys are too local, wamekomalia hoteli za ujima, hata kama chakula ni bure na wanapewa kamisheni, thats over the top!Hawa watu ni wachafu sana, nashukuru mleta uzi umenikumbusha. Wananikera jinsi wanavyojali fedha bila afya za wateja wao, ni kweli hawana mpinzani katika njia ya Mbeya - Arusha lakini angalia hoteli wanazosimamisha mabasi yao kwa ajili ya chakula kwa abiria ni zile chafu sana za Waarabu mfano Liverpool na Aljazeera ambazo huuza viporo na mazingira yao ni machafu sana. HOOD jirekebisheni mnakera!!
Dont tell me hiyo ndo kazi ya wale njiwa kwa maelfu waliofugwa pale ndani.
Hivi katika hali ya kawaida, njiwa wangapi wanatosha kwa kitoweo cha familia?