Stendi ya basi Mwanza

The coolest jw

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
655
1,030
Stendi mpya ya mabasi imefunguliwa mabasi ya endayo msoma kutoka Mwanza
Screenshot_20220816-140412_Twitter.jpg
 
Na ya mikoa mingine kama Bariadi-Simiyu, Dar, Moshi-Kilimanjaro, Kahama-Shinyanga n.k menyewe bado kuruhusiwa kuingia?
 
Dah,Ila hii Mimi sijapenda, kwanini wajenge stendi mbili kwenye mji mmoja? Italeta usumbufu Sana,mfano mtu unatoka Tabora kwenda Tarime,inabidi ushuke Nyegezi,ndo uende nyamhonholo kupanda basi la Tarime!
Mbona hyo ilikuwepo Toka zamani..unashuka buzuruga unaenda nyegezi ,au upande za moja Kwa moja musoma tabora
 
Kwa hiyo hicho kistand ndio kinazidi Stand Kuu ya Dodoma?
Wewe Jamaa nahisi Kuna Jamaa Mwanza alikutatua ma.ri.nda afu hakukulipa bei ile mliokubaliana!!
Unanongwa na Kila Thread ya Mwanza hadi unakera mbaya zaidi utalete Mwanza dhidi ya Dom, dhidi ya Arusha dhidi ya Mbeya dhidi ya katavi sijui Rukwa


Sikia hiyo ya DOM naijua vizuri tu maana kisasa ndio ninapokaa hapo DOM, Yaan stand ikifika saa6 mchana tu imepooza Kama mkojo wa mgonjwa wa kifaduro Yale sijui maNyati lounge Mara Tembo Lounge kule gari zinapoingilia Ni mahalls tu wafanyabiashara hasa machinga na agents wamejaza kule gari zinapotokea!!

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nyegezi ikikamilika uje ulinganishe na hiyo ata hii ni picha tu ukifika ndio utajuwa hiyo ya dodoma na hii ya nyamgholo ipi iko poa

Nimewahi kufika hapo wakat naelekea Musoma, ni picha tu haijapigwa vizuri, ila stendi iko poa sana tu. Inazidiwa na ile ya Magufuli Mbezi, lakini ile ya Dodoma ni ya kawaida na ni sawa tu na hii, japo aesthetically hii ni kali kuliko ya Dodoma
 
Dah,Ila hii Mimi sijapenda, kwanini wajenge stendi mbili kwenye mji mmoja? Italeta usumbufu Sana,mfano mtu unatoka Tabora kwenda Tarime,inabidi ushuke Nyegezi,ndo uende nyamhonholo kupanda basi la Tarime!

Hapana, wako sahihi. Unajua Mwanza kuna route zile za Dar-Moro-Dar, na kwa Mwanza ni Mwanza-Musoma-Mwanza na Mwanza-Tarime/Sirari-Mwanza na kuna mabasi ya kutosha. Mfano wake ni kule Mbagala na Temeke Mwisho kwa Magari ya Mtwara, kijografia vinafanana kabisa. Mtu anaeelekea Mtwara kwenda Mbezi ni usumbufu, hiyo ni sawa na uelekeo wa Musoma na Simiyu kwa jiji la Mwanza. Stendi mbili ni sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom