Stendi kuu Bukoba ni aibu kwa Serikali

Stendi kuu Bukoba ni aibu kwa Serikali

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,649
Reaction score
2,805
Kama una stress njoo stendi kuu ya Bukoba utacheka tu miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado tunafuga vyura na madimbwi ya maji katikati ya mji nasubiri mliosema mnasimamisha mnara naona umekamilika.

Wabunge wote wa Kagera mkiibeba kama tatizo la kimkoa tunaweza kuondokana na kadhia hii na aibu kwa wanaKagera, Ccm na Serikali kwa ujumla.

Kama huna gambuti huwezi kuingia stendi matope yanatishia uhai wa viatu.

IMG_20221219_113853_306.jpg
 
View attachment 2451747
Iko poa sana mbona
 
Na ndio mkoa unaongoza kwa mabilionea nchini.
Interesting.
 
Back
Top Bottom