Oya hapo kwenye nyekundu atakuwa amekosea hivi kwani Josephine ameshamalizana na mumewe?leo ktk kikao cha bunge mbunge wa viti maalum amesema Dr. Slaa anaongea maneno ya uchonganishi na kuhimiza watu wasifanye kazi kuwa hafai kuwa rais pia akamwonya mchumba wa Dr. Slaa, Josephine aache kumtumia meseji chafu na matusi. Anasema alifanyia uchunguzi wa hiyo namba na kungudua mwenye namba ni Josephine Emmanuel mchumba wa Dr. Slaa
Source: TBC toka Bungeni
Si aende polisi na ushaidi anao anasubiri nini...! kuhusu slaa a2elewe ni wapi na ni lini slaa alihamasisha huo upuuzi... si kuanza kuropoka kama yupo saloon...Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za maendeleo anasema ameudhiwa sana na kauli ya Dr Slaa kuwaambia wananchi wakisikia halufu ya chakula kizuri basi kinakuwa kimepikwa kwa mbunge,pia amemuonya anayeitwa Mchumba wa Dr Slaa kwa kumuandikia SMS za kumtukana,anasema eti alifuatilia hizo SMS akakuta zimetoka kwa Josephine Emmanuel Najiuliza hivi wabunge wa CCM hawana mambo ya kuchangia zaidi yakuingiza personalities
Stella got it wrong on Slaa kuhamasisha wananchi wasifanye kazi, sijawahi sikia huu upuuzi, lakini suala la sms naomba tusianze kurusha mawe, slaa is a member of JF, so he can as well clarify kuhusu sms kutoka kwa josephine...
Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za maendeleo anasema ameudhiwa sana na kauli ya Dr Slaa kuwaambia wananchi wakisikia halufu ya chakula kizuri basi kinakuwa kimepikwa kwa mbunge,pia amemuonya anayeitwa Mchumba wa Dr Slaa kwa kumuandikia SMS za kumtukana,anasema eti alifuatilia hizo SMS akakuta zimetoka kwa Josephine Emmanuel
Najiuliza hivi wabunge wa CCM hawana mambo ya kuchangia zaidi yakuingiza personalities