STAZ:mnatia aibu

STAZ:mnatia aibu

Kazitunayo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
3,784
Reaction score
3,209
Kumetokea tukio la Bomu Arusha lakini wachezaji wa Staz ata kusimama Dk 3 kuwakumbuka marehemu wameshidwa au ata kuvaa vitambaa veusi..ii mbaya sana kwa Taifa letu
 
Dah, hizi lawama sasa zimezidi! Imekua kama ni mtu anataka kuona kitu fulani vile!
 
Ww ni mbumbubu au?ki2cha;upangwa alafu usimame dkt tatu then one day before election?badilika.
 
nilifikiri hoja ya maana najura kufungua upumbavu uliouandika
 
Kumetokea tukio la Bomu Arusha lakini wachezaji wa Staz ata kusimama Dk 3 kuwakumbuka marehemu wameshidwa au ata kuvaa vitambaa veusi..ii mbaya sana kwa Taifa letu

Kweli aisee, uzalendo na hamna....
 
Back
Top Bottom