Stay away from Bitcoin crazy

Hii inaweza kuporomoka zaidi kwani wengi machale yameshawacheza hii kitu ni utapeli tu. Watu watacheza nayo mbali na hivyo kusababisha kasi ya kuporomoka iwe kubwa sana. Ngoja tusubiri tuone muelekeo.
Unasemaje sasa?
Ungekuwa mbali sana kiuchumi aise.. Ruhusu mabadiliko kiteknolojia, haiepukiki
 
Unasemaje sasa?
Ungekuwa mbali sana kiuchumi aise.. Ruhusu mabadiliko kiteknolojia,
Utaikimbia teknolojia....ila itakukamata tu....Huyu mwamba mawazo yake ni kama ya jamaa yangu niliyemuomba ushauri kuhusu kununua Btc huo mwaka 2017.... Ilishuka mpaka USD 5000...nilikuwa na uwezo wa kununua Btc 3....jamaa akaniambia nimerukwa na akili....juzi Kat Btc 1 iligonga 69,000usd...Je nisingemsikiliza yule hayawani nikanunua Btc 3 eo ningekuwa wapi....
 
Bitcon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…