'Status' za Utumishi pasua kichwa

'Status' za Utumishi pasua kichwa

baraka mas

Senior Member
Joined
Dec 3, 2022
Posts
139
Reaction score
471
Kwa wale mliyowahi kufanya usahili wa PSRS na kufanikiwa, status zilileta mabadiliko gani? Tusaidieni tuelewe vizuri.

Kuna hii selected for null na not selected for null kwenye app.
 
Kwa uelewa wangu mdogo...
Mtu yoyote Selected for Null huyo ni mtu alifaulu usaili wa Written kwenda Oral.

Not Selected for Null,Huyu ni mtu ambaye hakufaulu usaili wa Written Kwenda Oral.

Hivyo kwenye APP ndio inakuwaga hivyo.
 
Ukiingia oral inakuandikia selected for oral lakini after oral web inasoma shortlisted na Kwenye app inasoma selected for null au not selected for null na hapo umefanya oral interview
 
Hamnaga not Selected for Null kama ulifanya Oral kwenye App...Kwenye App lazima isome Selected For NUll
 
Ukiingia oral inakuandikia selected for oral lakini after oral web inasoma shortlisted na Kwenye app inasoma selected for null au not selected for null na hapo umefanya oral interview
Exactly ipo hivi
 
Kwa uelewa Wangu kwenye Web tu ukifanya Oral inakuandikia Shortlisted hapo inamanisha usaili umefaulu suala hapo inategemea na ufauulu na idadi ya nafasi

Ikibadilika na kuwa selected for oral tena subiri mkeka wa placement upo njiani na kila kitu kimekamilika

Ikiwa not shortlisted....inajieleza ila mkeka ukikaribia wote mnakuwa selected for oral
 
Kwahyo haya mabadiliko yanatokea wakati mkeka wa kuitwa kazini unapokaribia...?
 
Kwa uelewa Wangu kwenye Web tu ukifanya Oral inakuandikia Shortlisted hapo inamanisha usaili umefaulu suala hapo inategemea na ufauulu na idadi ya nafasi

Ikibadilika na kuwa selected for oral tena subiri mkeka wa placement upo njiani na kila kitu kimekamilika

Ikiwa not shortlisted....inajieleza ila mkeka ukikaribia wote mnakuwa selected for oral
Wanaofeli oral wanaandikiwaje status
 
Hivi ukishafanya Oral, status hubadika? Na je hubadika na kuleta kitu gani!! Na Kwa mda gani?
 
Me pia nikama wiki saiv Iko vilevle sa nashndwa kuelewa wanaosema inabadilika
 
Back
Top Bottom