Stationery kubwa inauzwa

Stationery kubwa inauzwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,270
Reaction score
829,302
Ina kila kitu kwenye vyumba viwili inauzwa kama ilivyo bei ni milioni 5 tu mazungumzo yapo, location ni Manzese Argentina
 
Ongezea nyama mkuu kwenye tangazo, itakuwa poa
 
1469288372387.jpg
1469288433006.jpg
1469288439976.jpg
1469288450237.jpg
1469288459137.jpg
1469288549847.jpg
1469288568054.jpg
 
Mkuu hizi picha ! Inabidi niligeuze limchina langu kiupande au mimi mwenyewe nilalie ubavu wa kushoto!!😀😀😀
 
Hapo electronics ndio inatoka zaidi na Inategemea kuanzia 50 -150
Labda niulize hivi ;
Kwa mwezi hiyo kazi inaingiza faida ya sh ngapi baada ya kutoa kodi? Tusiangalie nini kinatoka zaidi. Tuangalie kile unachopata ukishatoa kodi ya nyumba na kodi ya serikali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom