Hakuna PM kirahisi namna hiyo.
Canon ina matolea kibao,kuna nyingie wino ukiisha lazima uwe na zaidi ya laki moja.
Weka Picha hapa na bei ya kila kimoja.
Pia Sema Stationary ipo maeneo gani na ukiuza pamoja,yaani ukapewa chako ukasepa hapo inakuwaje.
Na ulikuwa na wafanyakazi wangapi na ulikuwa unawalipa mshahara wa kiasi gani.Ili ikiwezekana mtu anunue hadi wafanyakazi