Kabla sijaanza kuchungulia huko ninaomba mnitoe ushamba kidogo.Hivi nikiangalia TV online itakuwa Inakula ki-Bundle changu kwa kiasi gani? Ninahitaji kuwa na Bundle ya kiasi gani ili kufaidi matangazo ya TV Online ama inakuwa ni dezo bin free?
Sijafanikiwa kuitizama kwani nipo kwa mobile...Kabla sijaanza kuchungulia huko ninaomba mnitoe ushamba kidogo.Hivi nikiangalia TV online itakuwa Inakula ki-Bundle changu kwa kiasi gani? Ninahitaji kuwa na Bundle ya kiasi gani ili kufaidi matangazo ya TV Online ama inakuwa ni dezo bin free?
Kabla sijaanza kuchungulia huko ninaomba mnitoe ushamba kidogo.Hivi nikiangalia TV online itakuwa Inakula ki-Bundle changu kwa kiasi gani? Ninahitaji kuwa na Bundle ya kiasi gani ili kufaidi matangazo ya TV Online ama inakuwa ni dezo bin free?
STARTV:NAWAPONGEZENI SANA KWA VIPINDI VYENU VIZURI SANA NA MPO KITAIFA(KUSIMAMIA MASLAHI YA NCHI HII) ZAIDI PIA HAMNA UBAGUZI WA KIITIKADI.MUNGU IBARIKI STARTV,KISSFM NA RFA MTANGAZE HABARI BILA WOGA KWA SABABU MKIFICHA UGONJWA KIFO KITATUUMBUA.NAPENDA SANA KIPINDI CHA 'TUONGEE ASUBUHI,BBC-SWAHILI na kila kipindi.AHSANTE SANA STAR TV.
Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE STARTV LIVE ONLINE
RADIO FREE AFRICA TANZANIA IPO LIVE ONLINE KTK LINKI HAPO JUU, JE WEWE MWANA- JAMIIFORUMS POPOTE ULIPO DUNIANI UNAIPATA?
HABARI HII NZURI IMEPATIKANA KWA HISANI YA TOVUTI YA WAVUTI 01/SEPT/2012
SOURCE - WWW.WAVUTI.COM
Kwa muda kama wa wiki moja hii website inatoa ujumbe huo huo wa "This account has been suspended"Habari za asubuhi,
Mwanajf yoyote anayeweza kujua kama star tv wanapatikana online tafadhali anisaidie link.Niko nje ya Tz na ningependa kupata japo habari kutoka nyumbani. Nimejaribu link hapo juu lakini haijaweza kufungua.
badala yake inanipa majibu haya...
This account has been suspended
If you manage this site and have a question about why the site is not available, please contact NetFirms directly.
thanks!
Kwa muda kama wa wiki moja hii website inatoa ujumbe huo huo wa "This account has been suspended"
STARTV ADA ESTATE, DSM
30/08/2012
Ndugu Wapenzi wa Star Tv, tunaomba mtuwie radhi kwa kupotea hewani kwa masaa kadhaa.
Bado tuko kwenye majaribio, hivyo tunatatua hitilafu mbalimbali tunazokumbana nazo huku tukijitahidi kufanikisha dhamira yetu ya kurusha matangazo ya kudumu moja kwa moja kupitia mtandaoni.
Kunradhi kwa kupotea kwetu na shukrani kwa kutuunga mkono kuangalia matangazo haya.
Ndugu Watazamaji, La ziada ni kwamba; kwa majaribio haya, tunarusha picha za TV kwa quality ya chini ili kufanya tathmini mbalimbali. Tutaongeza quality mara tu baada ya kubainisha.
Ahsanteni.
Steve,
Tech.
source: Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE