KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,068
Mkuu dubwasha gani!
Ni ushauri mzuri,mimi huwa napenda sana kumuangalia kamuntu akisoma taarifa ya habari... zile mbwembwe zake zinanikosha sana.
lile li-tablet ni kubwa sana.
Nadhani ile itakuwa ni apad 3 kava lake n kubwa sana