StarTV na Azam FC.

Kweli StarTV ni bora, ila hujiuliza kwa nini tutangaze mechi za EPL (live/recorded) na zetu ziwe nongwa????? Je kutangaza EPL huwa TV zetu/watangazaji wanapata chochote? Shafii Dauda atueleze hapa!!!!!!!!!
 
Kweli StarTV ni bora, ila hujiuliza kwa nini tutangaze mechi za EPL (live/recorded) na zetu ziwe nongwa????? Je kutangaza EPL huwa TV zetu/watangazaji wanapata chochote? Shafii Dauda atueleze hapa!!!!!!!!!

ukimfuatishwa sihofii ushuhuda utaugua bure cha msingi kwanini asizungumzie gemu ya wa sudan karukia za ligi kuu dizaini walitaka shavu wakawatosa sasa anatoa povu tu msamehe bure hajui alitendalo.. hakuna kitu nakichukia kama mtoa taarifa hataki jina liandikwe yaani hapo ndio huwa watu wanapodanganyiwa..

Forza Azam FC
 
Sawa mkuu lakini hawa lazima tuwaseme maana tukiwaacha wataona umbea wao ndio DIRA yetu sote.
 
Hivi karibuni tumeona mechi zinazoihusu Azam FC zikioneshwa moja kwa moja na StarTV lakini ilipokuja mechi kati ya Azam na Yanga hatukuoneshwa moja kwa moja kwa nini?
Sasa huu ni mkataba au ni mambo ya 'kibongo bongo'?


Watanzania sasa wamehamka kwani siku hizi si kila mtu ni mpenzi wa Simba na Yanga kwani hzi timu ndizo zinazouwa mpira wa Tanzania. Na kama unataka kuangalia mpira wa kiukweli tizama timu za mikoani zinazocheza mpira wa akili tofauti kabisa ya hizi timu za kishirikina (Simba na Yanga).
 
Kabla ya kuwasema, una uhakika hao Simba na Yanga wenyewe wanataka mechi zao zirushwe?
Hao (bolded) ndio nuksi kabisa kwa maendeleo ya soka letu. Timu hizo ni jumuiya tu za Chama kwani ukitaka nafasi serikalini au ubunge kuwa tu kiongozi katika timu hizo. Hawataki mechi zao kuoneshwa moja kwa moja kwa sababu 1-kamati zao za ufundi kienyeji huwakataza na 2-kutegemea mapato ya milingoni tu.
 
Kweli kabisa, hata rais wa jamhuri kalisema hilo wakati akiweka jiwe la msingi la Azam complex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…