Habari nilizozipata toka kwa Startox mwenyewe, ni kwamba amesalimika kuuawa na majambazi baada ya kuvamiwa maeneo ya Mwananyamala. Majambazi hao wamepora simu, pesa na baadhi ya vitu. Source: Startox kwenye Facebook.
huyu ni nani mkuu? ukiwa unateta habari mwishoni bora unaweka wasifu wake au kazi yake inayomfanya kuwa maarufu, kama ni mtangazaji, muigizaji au kivingine maana hilo jina ndio nimelisikia leo