StarTimes wanatoza kuangalia Local Channels

washwa washwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
1,613
Reaction score
728
Nikiwa mteja wa vifurushi vya DSTV na Star Times nimeshangazwa na hatua ya kuzifungia Local Channels katika kifurushi cha DSTV kwa kuwa hazioneshwi bure jambo ambalo hata Star Times wanafanya lakini hawajafungiwa.

Nina kifurushi cha Star Times, usipolipia inabakia tu TBC. Kwa mtizamo wangu naona wametukatili sana wateja wa DSTV

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wawalazimishe nao waonyeshe zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…